Mgombea ubunge Jimbo la Ileje, Mhandisi Godfrey Kasekenya amefunga kampeni za kuwania ubunge wa jimbo hilo, huku akieleza namna Serikali ilivyoifungua Ileje ambayo awali ilikiwa ni milima na maendeleo kwa kasi ya kawaida.

Kasekenya amesema milima imepasuliwa na barabara za lami zimejengwa katika kipindi cha miaka minne na sasa Ileje inafikika kwa urahisi.

Aidha amewaahidi kuendelea kujengwa kwa miradi mingi zaidi ikiwemo afya ,elimu,maji na barabara za Rami.

Mhariri | @claud_jm

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *