#NBCPL Goli lililofutwa…..!!!

#NBCPL Goli lililofutwa…..!!!

Hili hapa goli la Beno Ngassa akiifungia Dodoma Jiji FC dhidi ya Pamba Jiji FC kabla ya kuvunjika kwa mchezo huu uliopigwa Jumamosi ya Oktoba 25 kwenye Dimba la Jamhuri Dodoma…

Mchezo huu ulivunjika mapema kutoka na kukatika kwa umeme jijini Dodoma na kutokuwepo kwa chanzo mbadala cha nishati hiyo…

Kufuatia hali hiyo, leo Kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa Ligi imetanga uamuzi wa kuipa ushindi wa magoli matatu Pamba Jiji FC pamoja na kulifuta goli hili…..

#NBCPL #NBCPremierLeague #LigiKuuTanzania #ImenogaZaidi #DodomaJijiFC #PambaJijiFC #DodomaJijiPambaJiji

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *