Uchaguzi Tanzania 2025: Kwa nini idadi ya wapiga kura Tanzania ‘inazua maswali’?
Kuna tofauti ya takribani wapiga kura milioni 6.2 kati ya waliotangazwa kuwa kwenye daftari la wapiga kura (milioni 37.6) na wale waliotarajiwa kuwa na sifa ya kupiga kura, (milioni 31.4)…