‘Timiza majukumu yako la sivyo utalipa gharama’: Spika Qalibaf aionya Marekani
Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Baqer Qalibaf ameionya Marekani kwamba inalazimika kutimiza majukumu yake la sivyo italazimika kulipa gharama ya kukiuka ahadi na majukumu yake chini ya makubaliano ya…