Je, ni nani atanyakuwa nafasi zilizosalia kufuzu Kombe la Dunia 2026?
Nafasi saba za Kombe la Dunia la Fifa 2026 zimesalia kunyakuliwa huku hatua ya makundi ya kufuzu kwa Afrika ikifikia kilele chake.
Madagascar: Wanajeshi waunga mkono waandamanaji, Rajoelina ‘bado yuko nchini’
Maandamano dhidi ya serikali nchini Madagascar yanazidi kuongezeka. siku ya Jumamosi, Oktoba 11, makundi ya wanajeshi yamejiunga na maandamano katika mitaa ya Antananarivo, na kikosi cha jeshi la Madagascar kimetoa…
Mapigano makali yazuka kati ya majeshi ya Pakistan na Afghanistan kwenye mpaka wa nchi mbili
Mapigano makali ya mpakani yamezuka kati ya majeshi ya Afghanistan na Pakistan huku vikosi vya nchi hizo mbili vikishambuliana kwa kutumia silaha nzito.
Hamas yawaita wapiganaji wake Gaza huku hofu ya vita vya wenyewe kwa wenyewe ikiongezeka
Mapigano tayari yametokea kati ya Hamas na ukoo wenye silaha katika Jiji la Gaza.
KUTOKA GYMKHANA: Afisa Habari wa KMC, Khalid Chukuchuku amesema ujio wa Umoja wa Klabu Afrika (ACA) ni ukombozi kwa klabu zilizo…
KUTOKA GYMKHANA: Afisa Habari wa KMC, Khalid Chukuchuku amesema ujio wa Umoja wa Klabu Afrika (ACA) ni ukombozi kwa klabu zilizopo daraja la chini na kati. Ni kwenye tukio maalumu…
Popat: Fedha za maandalizi CAF zinatusaidia sana
Makamu wa Rais wa Azam FC, Abdulkarim Mohamedamin Nurdin 'Popat' amethibitisha kwamba klabu yao imeanza kupokea mgao wa gharama za maandalizi kwenye mechi za hatua ya awali ya mashindano ya…
KUTOKA GYMKHANA: Kaimu Katibu Mkuu wa TFF, Oscar Milambo amefunguka namna Tanzania inaweza kunufaika na teuzi zilizofanywa na FI…
KUTOKA GYMKHANA: Kaimu Katibu Mkuu wa TFF, Oscar Milambo amefunguka namna Tanzania inaweza kunufaika na teuzi zilizofanywa na FIFA kwa Watanzania, Wallace Karia, Hersi Said na Neema Haji. Ni kwenye…
KUTOKA GYMKHANA: “Timu ya Taifa ni karibia asilimia zote tunaigharamia serikali”
KUTOKA GYMKHANA: “Timu ya Taifa ni karibia asilimia zote tunaigharamia serikali” Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa,…
KUTOKA GYMKHANA: “Hatujaweka jitihada ya kutosha kuhakikisha tunachukua ubingwa”
KUTOKA GYMKHANA: “Hatujaweka jitihada ya kutosha kuhakikisha tunachukua ubingwa” Rais wa Yanga SC, Hersi Said amuomba radhi Kocha Edna Lema wa Yanga Princess akisema kwamba wao kama uongozi, hawajaweka kipaombele…
Samia: Najivunia kumuenzi Magufuli kwa vitendo
Baada ya mkutano huo wa kampeni, Rais Samia alizuru kaburi la Magufuli ambako aliwasha mshumaa, alishiriki sala fupi ya kumuombea na kuweka shada la maua.
Israel yaua Wapalestina wengine 6 huko Gaza; Hamas yalalamikia kukiukwa usitishaji vita
Jeshi la Israel limewauwa shahidi takriban Wapalestina sita huko Ukanda wa Gaza ndani ya saa 24, licha ya Tel Aviv hivi karibuni kufikia makubalianokuhusu utekelezaji wa awamu ya kwanza ya…
Wanajeshi wa Israel waendeleza mashambulizi Ukingo wa Magharibi; Wapalestina 2 wajeruhiwa
Takriban Wapalestina wawili wamejeruhiwa wakati wanajeshi wa Israel walipovamia na kuwafyatulia risasi wakazi wa eneo la Ukingo wa Magharibi. Wanajeshi wa Israel usiku wa kuamkia leo walivamia pakubwa vijii na…
Yemen yahimiza msimamo mmoja wa Ulimwengu wa Kiislamu dhidi ya Israel
Serikali ya Yemen imethibitisha uungaji mkono wake kwa watu wa Gaza kufuatia kutekelezwa makubaliano ya kusitisha vita kati ya Hamas na Israel.
KUTOKA GYMKHANA: “Leo Yanga ni brand kubwa sio tu Tanzania, sio tu Afrika”
KUTOKA GYMKHANA: “Leo Yanga ni brand kubwa sio tu Tanzania, sio tu Afrika” Mwanahabari mkongwe nchini Gerald Hando amesema tangu Hersi Said aingie katika madaraka katika klabu ya Yanga, chapa…