‘Sina ujasiri alio nao Lissu’: Mke wa Lissu aelezea gharama ya mapambano ya kisiasa ya Tanzania kwa familia
Alicia Lissu, mke wa kiongozi wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu, anazungumzia athari za kihisia, kifedha, na binafsi zinazotokana na harakati za kisiasa za mumewe, kesi ya uhaini, na kukamatwa…