“Ndugu yangu Dkt. Khatibu Kazungu Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma, sio mgeni kweli hili umeshashika nafasi mbalimbali, nikuambie tu kwamba Dodoma sio tu Makao Makuu ya Nchi yetu bali ni mkoa unaokua kwa kasi kubwa, mwaka 2012 Sensa inaonesha kuwa kasi ya ongezeko la watu ilikuwa 2.1% ndani ya Dodoma, lakini tunavyozungumza sasa hivi ni 3.9% kwa hiyo watu wanakuja kwa kasi sana Dodoma, ina maana kwamba kuna hitaji kubwa la ongezeko la maendeleo lakini pia huduma za kijamii, sasa hiyo ndio kazi yako pamoja na Mkuu wa Mkoa” – Mhe.Samia Suluhu – Rais wa Tanzania.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania