Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi ametahadharisha kuwa kuwepo njozi za “Israel Kubwa” kunawakilisha hatari na tishio kubwa kwa amani na usalama wa dunia. Araqchi amezitolea wito nchi za Kiislamu kuchukua hatua za pamoja kukabiliana na ajenda ya kujitanua ya Israel.
BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI
