Jeshi la Israel limeutangaza mji wa Gaza kuwa “eneo hatari la mapigano”, saa chache kabla halijaanza kutekeleza operesheni kubwa za kijeshi kuudhibiti mji wa Gaza ambao ndio mkubwa zaidi kwenye eneo la Palestina.