Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa indhari kali ya kuongezeka vifo vya raia huko Ghaza, akiielezea hali ya eneo hilo la Palestina lililowekewa mzingiro na Israel kuwa “haijafanana na yoyote katika zama za hivi karibuni.”
BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI
