#HABARI: Baada ya Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM Agosti 28, 2025 Kawe jijini Dar es Salaam, mgombea wa kiti cha Urais wa chama hicho Dkt.Samia Suluhu Hassan, yupo mkoani Morogoro kwa ajili ya Kampeni ambapo alianzia Ngerengere na sasa yupo Morogoro mjini, ambapo wananchi wamejitokeza kusikiliza sera.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania #uchaguzimkuu2025