#HABARI: Siku tatu mara baada ya Kituo cha ITV, kuripoti mgogoro wa ardhi eneo la Kwa Kibosha, Kata ya Mapinga, Bagamoyo, mkoani Pwani, Uongozi wa Halmashauri ya Mji wa Bagamoyo, umeweka bayana kuhusu mgogoro huo kufuatia kauli iliyotolewa hivi karibuni na uongozi huo, kuzua sintofahamu na taharuki kwa wakazi wa eneo hilo, ambao wanapinga mdaiwa kuwa mmiliki wa ardhi hiyo.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania #uchaguzimkuu2025