#HABARI: Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi ,INEC, imemuondoa Peter Yohana Mgombea wa Chama cha NRA katika Nafasi ya Ubunge katika J…#HABARI: Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi ,INEC, imemuondoa Peter Yohana Mgombea wa Chama cha NRA katika Nafasi ya Ubunge katika J…

#HABARI: Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi ,INEC, imemuondoa Peter Yohana Mgombea wa Chama cha NRA katika Nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Mbarali, mkoani Mbeya, baada ya kushindwa kurejesha fomu ya kuteuliwa bila ya kutoa taarifa.

Akitoa Taarifa Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Mbarali Bw. Salifu Venance, amesema katika zoezi la uchukuaji fomu jumla ya wagombea 12 wa nafasi ya Ubunge, katika vyama tofauti 12 walifanikiwa kuchukua fomu na Wagombea 11, wameweza kurejesha isipokuwa Peter Yohana, ameshindwa kurejesha na hajatoa taarifa yoyote.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania #uchaguzimkuu2025

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *