Russia yatungua droni ya Ukraine iliyokusudia kushambulia kinu cha nyuklia cha KurskRussia yatungua droni ya Ukraine iliyokusudia kushambulia kinu cha nyuklia cha Kursk



Vikosi vya ulinzi wa anga vya Russia vimeitungua ndege isiyo na rubani ya Ukraine (Droni) iliyokuwa imekusudia kutekeleza shambulizi katika kiwanda cha nguvu za nyuklia cha Kursk cha Russia (KNPP).



BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *