Serikali ya Eswatini inakabiliwa na kesi mahakamani kuhusu watu waliofukuzwa MarekaniSerikali ya Eswatini inakabiliwa na kesi mahakamani kuhusu watu waliofukuzwa Marekani



Kundi la mawakili watetezi wa haki za binadamu na taasisi zisizo na kiserikali (NGOs) linaishtaki serikali ya Eswatini kwa kukubali kuwapa hifadhi watu watano waliofukuzwa nchini Marekani.



BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *