Kenya yaiomba CAF kuwaruhusu mashabiki kuujaza uwanja wa Kasarani
Serikali ya Kenya imeliandikia rasmi barua shirikisho la soka la Afrika CAF, liruhusu mashabiki wa Kenya kuujaza uwanja wa Kasarani, wakati wa mchezo wa robo fainali dhidi ya Madagascar, unaotarajiwa…