2 Septemba 2025

Mgombea mwenza wa Chama tawala nchini Tanzania, CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi amemtaka mwanasiasa aliyeenguliwa kwenye nafasi ya kugombea urais kupitia chama cha ACt-Wazalendo Luhaga Mpina, kurejea mara moja CCM.

https://p.dw.com/p/4ztWg

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *