
Dakar Senegal – Wataalamu wa afya wameonya kuhusu magonjwa yasiokuwa na tiba kuendelea kusababisha maafa, iwapo raia hapa Africa hawatabadilisha mitindo wa maisha. Prof Mary Abukutsa, mtafiti wa vyakula asili anasema mbinu pekee ya kupambana na magonjwa ya kisasa ni kula vyakula ya kiasili.
Imechapishwa:
Dakika 1 Wakati wa kusoma
Matangazo ya kibiashara
Benson Wakoli amezungumza na prof Mary Abukutsa akiwa Dakar Senegal.