“Rwanda inajenga mustakabali ambapo miji yetu ambayo imeunganishwa zaidi na uchumi wetu unaimarika zaidi kupitia ubunifu wa usafiri,” Waziri wa Miundombinu, Jimmy Gasore, alinukuliwa akisema katika taarifa hiyo.

Mpango huu unaimarisha nafasi ya Rwanda kama kitovu cha Afrika cha majaribio na kutekeleza teknolojia ya kisasa ya anga, Wizara hiyo imesema.

Serikali ya Rwanda imeongeza kusema kuwa kwa kushirikiana na utaalamu wa kimataifa wa uhandisi wa CRBC, Rwanda inalenga kujenga mfumo mpya wa ikolojia wa usafiri wa angani (AAM), teknolojia iliyoundwa ili kupunguza msongamano wa magari, kuunganisha jamii, na kuunda chaguo endelevu za usafiri.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *