RSF wametekeleza uhalifu dhidi ya binadamu mjini El-Fasher SudanRSF wametekeleza uhalifu dhidi ya binadamu mjini El-Fasher Sudan

Wachunguzi wa Umoja wa Mataifa wamesema wapiganaji wa RSF wametekeleza vitendo vya uhalifu dhidi ya binadamu katika mapigano ya wenyewe kwa wenyewe yanayoendelea nchini Sudan hasa katika mji wa El-Fasher Magahribi mwa Darfur.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *