#HABARI: Mtiania wa Urais wa Zanzibar kupitia chama cha NRA, Hussein Juma Salum (kushoto), akikabidhi fomu ya kuomba kuteuliwa kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jaji George Joseph Kazi, wakati wa kurejesha fomu hizo leo katika ofisi za Tume, Maisara, Unguja, Zanzibar. Picha na Jesse Mikofu.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.