#HABARI: Mtiania wa Urais Zanzibar kupitia chama cha AAFP, Said Soud Said (kushoto), akikabidhi fomu za kuomba kuteuliwa kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jaji George Joseph Kazi, wakati wa kurejesha fomu hizo katika ofisi ya ZEC, Maisara, Unguja, Zanzibar.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.