Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika kikao na Mufti Mkuu wa Tunisia kwamba: “Kukomeshwa mauaji ya halaiki ya utawala wa Kizayuni huko Gaza na kuzuia kupanuka kwa wigo wa uchokozi wa utawala huo kunahitajia ushirikiano mkubwa wa Umma wa Kiislamu.”
BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI
