#HABARI: Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina, ameshinda kesi yake dhid…#HABARI: Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina, ameshinda kesi yake dhid…

#HABARI: Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina, ameshinda kesi yake dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Tume Huru ya Uchaguzi, baada ya kuzuiliwa kurejesha Fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea Urais Kupitia chama hicho.

Kesi hiyo iliyoanza kusikilizwa leo Septemba 11, imemalizika kwa Mpina kushinda na sasa atarejesha fomu ya kuteuliwa kugombea urais kwa tiketi ya chama hicho.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania #uchaguzimkuu2025

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *