11 Septemba 2025

Mahakama Kuu ya Tanzania, kupitia Masjala Kuu ya Dodoma, imetoa uamuzi uliomrejesha Luhaga Mpina kwenye kinyang’anyiro cha urais kupitia chama cha ACT-Wazalendo katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 29 Oktoba 2025.

https://p.dw.com/p/50M5k

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *