#MEZAHURU: Show za Dansi#MEZAHURU: Show za Dansi

#MEZAHURU: Show za Dansi. Kumekuwa na tamaduni sasa ya show za dansi ndani ya Dar es Salaam kutokuwa na viingilio, ukinunua hata maji tu ya kunywa ndio kiingilia chako, wengine wanaangalia kwa pembeni bila kununua chochote. Je hawaoni wanawaweka wanamuziki kwenye wakati mgumu kimaisha? Je wanamuziki hawaoni wanashusha wenyewe hadhi ya muziki wa bendi? Je wanalipwaje, kwa masaa au siku? Je kweli malipo yanatosha kwa timu nzima? Eneo lisipouza vinywaji na chakula vya kutosha nini kutokea kwenye kulipana? Kupeleka bendi mikoani na kuweka kiingilio kulinganisha na mji mkubwa kama Dar es Salaam kusiko na kiingilio kibiashara imekaaje? Muziki wa bendi umeshuka sana kwa nini? Mapenzi kwa wapenzi wa muziki yameshuka pia kwa nini?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *