#HABARI: Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imetupilia mbali mapingamizi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokra…#HABARI: Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imetupilia mbali mapingamizi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokra…

#HABARI: Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imetupilia mbali mapingamizi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu aliyoyasilisha katika mahakama hiyo ikiwemo uhalali wa Mahamama Kuu kuwa na uwezo wa kuendelea na shauri hilo kwa madai mwenendo wa kesi ulikosewa kuanzia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ikiwemo hoja ya mwenendo kabidhi wa shauri hilo. Kesi hiyo itaendelea tena majira ya saa nane mchana leo Septemba 15, 2025.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *