#HABARI: Mkaguzi Kata ya Kisangura Serengeti katika Mkoani Mara, Mkaguzii wa Polisi (INSP) Genuine Kimario, amewataka wananchi k…#HABARI: Mkaguzi Kata ya Kisangura Serengeti katika Mkoani Mara, Mkaguzii wa Polisi (INSP) Genuine Kimario, amewataka wananchi k…

#HABARI: Mkaguzi Kata ya Kisangura Serengeti katika Mkoani Mara, Mkaguzii wa Polisi (INSP) Genuine Kimario, amewataka wananchi kuendelea kukemea na kutoa taarifa kwa Polisi Juu ya vitendo vya ukatili.

(INSP) Genuine amewasisitizia wananchi wa Kata hiyo kuwa vitendo vya ukatili vinavyo fanywa na baadhi ya watu vinasababisha udumavu wa familia kiuchumi na kuwaomba kuachana na tabia hizo ili kuweka ustawi mzuri wa Jamii zao.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *