Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema, hatua ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio, pamoja na Benjamin Netanyahu, ambaye anasakwa na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, ICC ya kufanya ibada ya Kiyahudi kwenye Ukuta wa Buraq, ambayo ni sehemu isiyotenganika na Msikiti wa Al-Aqsa, ni kuuvunjia heshima waziwazi utakatifu wa msikiti huo na ni ukiukaji wa hadhi ya kihistoria na kisheria ya Baitul Muqaddas.
BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI
HAMAS: Kufanya ibada ya Kiyahudi Rubio na Netanyahu kwenye Ukuta wa Buraq ni kuitusi Quds na Msikiti wa Al Aqsa