Jeshi la Pakistan limesema limeua watuhumiwa kadhaa wa ugaidi ndani siku mbili
Jeshi la Pakistan limesema Jumatatu kuwa katika mashambulio mawili ya usalama yaliyofanyika katika sehemu ya kaskazini magharibi ya nchi hiyo katika siku mbili zilizopita, takriban wapiganaji 31 wameuawa.