Philippe Lazzarini, Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) amesema kuwa, hivi sasa hakuna sehemu salama huko Gaza na kwamba mashambulizi ya anga yanaendelea kushika kasi.
BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI
