WHO: Vifo vilivyosababishwa na kipindupindu duniani kote katika mwaka 2024 viliongezeka kwa 50%WHO: Vifo vilivyosababishwa na kipindupindu duniani kote katika mwaka 2024 viliongezeka kwa 50%



Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa vifo vilivyosababishwa na ugonjwa wa kipindupindu viliongezeka kwa asilimia 50 duniani kote katika mwaka uliopita wa 2024 ikilinganishwa na mwaka wa kabla yake.



BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *