Shirika la Kimataifa la Save the Children limetangaza kuwa, karibu watoto 1,200 wamepoteza maisha na maelfu ya wengine kuachwa bila makao katika tetemeko la ardhi la hivi majuzi mashariki mwa Afghanistan, ambalo limechukua zaidi la nusu ya jumla ya wahanga.
BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI
Save the Children: Zaidi ya nusu ya waathiriwa wa tetemeko la ardhi mashariki mwa Afghanistan ni watoto