Mawaziri wawili wa Israel walio na siasa kali za mrengo wa kulia wametoa wito wa kunyakuliwa kwa Ukingo wa Magharibi unaokaliwa na Israel kufuatia tangazo la Uingereza, Canada na Australia kulitambua taifa la Palestina.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *