Sudan Kusini: Ripoti ya UN inashtumu uporaji wa rasilimali za mafuta unaofanywa na viongoziSudan Kusini: Ripoti ya UN inashtumu uporaji wa rasilimali za mafuta unaofanywa na viongozi

Umoja wa Mataifa unawashutumu viongozi tawala wa Sudan Kusini kwa kujihusisha na uporaji wa kweli wa rasilimali ya mafuta ya nchi hiyo. Ripoti hii ya Tume ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Kibinadamu inaeleza jinsi mapato ya mafuta na yasiyo ya mafuta yanavyoelekezwa kupitia mipango isiyoeleweka na ili kukidhi maslahi ya kisiasa, na kuwanyima mamilioni ya Wasudan Kusini huduma za kimsingi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *