Uingereza, Australia na Canada zimetangaza hii leo kulitambua rasmi taifa la Palestina katika mabadiliko makubwa ya miongo kadhaa ya sera za kigeni za nchi za magharibi na kuchochea hasira kutoka Israel Post navigation Mawaziri wa Israel wataka Ukingo wa Magharibi kunyakuliwa 22.09.2025 Matangazo ya Mchana