Wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wakiwa wamehudhuria mkutano kuhusu Sudan na Sudan Kusini kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa Januari 27, 2025 huko New York City.

Chanzo cha picha, Getty Images

Maelezo ya picha, Licha ya idadi ya nchi za Afrika kuwa zaidi ya robo ya mataifa ya Umoja wa Mataifa, bara hilo halijawakilishwa katika P5.

Marekani, China na Urusi mara nyingi hutofautiana kuhusu masuala mengi ya kimataifa.

Hata hivyo, kuna jambo moja linalowaleta pamoja, wote wanaunga mkono Afrika kupata kiti cha kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

Lakini, licha ya makubaliano hayo ya nadra miongoni mwa mataifa yenye nguvu kubwa duniani, swali linaendelea kubaki, kwa nini hili bado halijatekelezwa?

Baraza la Usalama lina wanachama watano wa kudumu China, Urusi, Ufaransa, Uingereza na Marekani, wanaojulikana kama P5.



Source link

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *