Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amesema yuko tayari kuanza tena mawasiliano na Marekani iwapo Washington itaondoa matakwa yake ya kutaka Pyongyang kuachana na mpango wake wa silaha za nyuklia, vyombo vya habari vya serikali ya Korea Kaskazini vimeripoti leo Jumatatu, Septemba 22.
Jong-un kufanya mazungumzo na Marekani kwa sharti la kutozungumzia mpango wake wa nyuklia