Rais wa Venezuela Nicolas Maduro amekanusha katika barua aliyomwandikia mwenzake wa Marekani Donald Trump tuhuma za ulanguzi wa dawa za kulevya dhidi yake, akimtaka mwenzake “kulinda amani kupitia mazungumzo” huku Washington ikipeleka meli za kivita katika visiwa vya Caribbean na kufanya mashambulizi dhidi ya boti za Venezuela.
Nicolas Maduro akanusha tuhuma za ulanguzi wa dawa za kulevya, amwalika Trump kwa mazungumzo