Ufaransa na Saudi Arabia kuongoza mkutano wa kilele wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kujaribu kufufua matumaini ya suluhisho la mataifa mawili//Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa litafanya kikao cha dharura kujadili ukiukaji wa usalama wa anga ya Estonia uliofanywa na Urusi//Msalaba Mwekundu kuandaa mkutano wa kimataifa wa ngazi ya juu kujadili ukiukaji wa sheria za kimataifa katika vita