Baadhi ya mataifa yamepanga kuitambua Palestina kama nchi huru katika Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa utakaofanyika jijini New York. Mkutano huo utaongozwa na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na Saudi Arabia.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *