Uingereza, Canada na Australia siku ya Jumapili zilitangaza kulitambua Taifa la Palestina. Wakuu wa mataifa hayo walitangaza kupitia video zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii hatua inayofufua matumaini ya amani na suluhisho la mataifa mawili kati ya Israel na Palestina.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *