Saudi Arabia na Ufaransa zinatarajia kuongoza mkutano wa kilele wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, unaoanza Jumatatu na utaangazia suluhu la mataifa mawili katika mzozo wa Israel na Palestina. Siku ya Ijumaa ya wiki iliyopita Ofisi ya rais wa Ufaransa ilitangaza kuwa nchi kumi zitalitambua rasmi taifa la Palestina katika mkutano huu.
Utambuzi wa Gaza na taifa la Palestina kutawala Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa