Washington yashutumu utambuzi wa taifa la Palestina kwa baadhi ya nchiWashington yashutumu utambuzi wa taifa la Palestina kwa baadhi ya nchi

Marekani, mshirika wa karibu wa Israel, imekosoa siku ya Jumapili, Septemba 21, kutambuliwa kwa taifa la Palestina na msururu wa nchi kama “kujionyesha,” ikisema “inaweka kipaumbele kwa diplomasia ya kweli” katika Mashariki ya Kati.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *