S

Chanzo cha picha, Wicknell/BBC

    • Author, Shingai Nyoka
    • Nafasi, BBC News, Harare

Wicknell Chivayo, si jina geni katika eneo hili la Afrika mashariki, amejizolea umaarufu mkubwa kutokana na aina ya Maisha ya kifahari anayoishi, Pamoja na picha zake na viongozi mbalimbali wa nchi za Afrika.

Mwishoni mwa juma, taarifa iliyodaiwa kutoka bodi ya kupambana na rushwa kutoka Zimbabwe ilisaambaa kupitia ukurasa wa X , ikisema kuwa uchunguzi dhidi yake umefunguliwa juu ya madai ya Rushwa..

Hata hivyo taarifa hiyo ilifutwa baadae, na mwezi juni, Bodi hiyo ya kupambana na rushwa ilitoa taarifa kuwa ukurasa wake wa X ulidukuliwa..

Lakini bwana Wicknell Chivayo kutoka Zimbabwe ni nani hasa?



Source link

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *