Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais wa Iran Masoud Pezeshkian, ametangaza mbele ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwamba nchi yake haina dhamira ya kuunda silaha za nyuklia / Watoto wako kwenye hatari ya kufa nchini Sudan Kusini kutokana na baa la njaa linalochochewa na hatua ya kupunguzwa msaada,vita na rushwa