Ni taabu kupata maji ya kunywa kaskazini mwa Kenya
01.09.20251 Septemba 2025 Kaskazini mwa Kenya, kaunti za Turkana na Marsabit zinatatizika kupata maji safi na salama. Maji ya chumvi katika Ziwa Turkana katikati yao yamekuwa si chanzo cha maji…
01.09.20251 Septemba 2025 Kaskazini mwa Kenya, kaunti za Turkana na Marsabit zinatatizika kupata maji safi na salama. Maji ya chumvi katika Ziwa Turkana katikati yao yamekuwa si chanzo cha maji…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA TANGA : SEPTEMBA 01, 2025 – WANANCHI WAOMBA KUSAIDIWA VIFAA VYA UJENZI
Maafisa wa Palestina pamoja na watu walioshuhudia, wanasema mshambulizi ya anga ya Jumatatu yamewauwa watu wasiopungua 19. Kuhusu mashambulizi hayo jeshi la Israel limesema vikosi vyake vinaendelea kupambana na Hamas…
Halmashauri kuu ya Umoja wa Ulaya imesema ndege iliyombeba rais wake Ursula von der Leyen ilikuwa ikijiandaa kutua nchini Bulgaria wakati mfumo wake wa GPS, yaani ramani ya kidijitali inayotoa…
Kwenye miji ya Goma na Bukavu, wazazi wengi wanakabiliwa na changamoto kubwa katika kuwaandaa watoto wao kwa mwaka mpya huu wa shule. Ingawa hii tarehe mosi Septemba wanafunzi wamerudi shule…
Nchini Uganda, mpinzani wa muda mrefu wa Rais Yoweri Museveni, Kizza Besigye, hakuhudhuria ufunguzi wa kesi yake ya uhaini siku ya Jumatatu asubuhi Septemba 1, katika Mahakama Kuu ya Kampala.…
Waandamanaji wasiopungua 500 walikusanyika nje ya bunge la taifa mjini Jakarta huku maafisa wa usalama wakiwatazama. Awali wanajeshi walipiga doria ila waliondoka baada ya saa kadhaa. Katika mji jirani wa…
Mageuzi anayopanga kuyafanya Kansela Friedrich Merz hivi karibuni katika kodi na masuala ya ustawi yanaweza kuleta mzozo katika serikali yake ya muungano Changamoto zinazoikabili serikali yake ni kubwa ikizingatiwa kuwa…
Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO), inayojumuisha mataifa 10 yakiwemo China, India, Urusi na Iran, imesema leo Jumatatu, Septemba 1, kwamba “inalaani vikali vitendo vinavyosababisha vifo vya raia” katika Ukanda…
#HABARI: Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Hansbeti Augustine, mkazi wa Kata ya Nshambia, Manispaa ya Bukoba, mkoani Kagera, amekamatwa na Maafisa wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa…