Waasi wa Houthi wavamia ofisi za UN, wateka wafanyakazi
Waasi wa Houthi wamevamia ofisi za mashirika mawili ya misaada ya Umoja wa Mataifa katika mji mkuu wa Yemen, Sanaa, na kuwateka nyara wafanyakazi kadhaa. Taarifa hizo ni kwa mujibu…
Waasi wa Houthi wamevamia ofisi za mashirika mawili ya misaada ya Umoja wa Mataifa katika mji mkuu wa Yemen, Sanaa, na kuwateka nyara wafanyakazi kadhaa. Taarifa hizo ni kwa mujibu…
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amekagua kiwanda kipya cha utengenezaji wa makombora pamoja na mchakato wa uzalishaji wa silaha hizo kwa kutumia teknolojia ya kisasa, kwa mujibu wa…
Kupitia chapisho kwenye mtandao wa kijamii wa X, Khamenei amesema nchi hizo mbili kutoka pande tofauti za Asia, zina uwezo wa kuleta mabadiliko makubwa ya kikanda na duniani kwa ujumla.…
Kauli hiyo amekuwa akiirudia mara kwa mara tangu kuanza kwa vita hivyo mwaka 2022, na hivi karibuni Zelensky alithibitisha kuwa yuko tayari kwa mazungumzo ya ana kwa ana na Putin…
01.09.20251 Septemba 2025 Ngoma za Njuga ni aina ya ngoma za asili zinazochezwa kwa kuvaa njuga miguuni au mikononi, zikitamba kwa sauti ya kipekee inayochochea furaha, heshima na mdundo wa…
Veronica Natalis 01.09.20251 Septemba 2025 Kwa wanaojifungua kwa mara ya kwanza wakati mwengine wanakuwa na hofu kubwa ya kupitia mchakato mzima wa kujifungua. Wengi wanakuwa na uwoga baaada ya kuwasikia…
SK2 / S02S01.09.20251 Septemba 2025 Idadi ya watu ambao wamefariki nchini Afghanistan kufuatia tetemeko baya la ardhi imeongezeka na kufikia zaidi ya 800+++Rais wa China Xi Jinping ameahidi kuwa nchi…
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 01 Septemba 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW Bonn.