Chama cha NLD kupitia kwa mgombea wake wa Urais, Doyo Hassan Doyo kimeahidi kutafuta masoko ya kudumu ya bidhaa za shambani zinazozalishwa na wakulima wa mkoa wa Njombe.

Doyo ametoa ahadi hiyo kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika leo.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *