#HABARI: Chama Cha Mapinduzi CCM Jimbo la Musoma Mjini kimelaani tukio la watu wanaotajwa kikundi cha vijana waliochana na kutoboatoboa mambango ya mgombea wao wa urais Dkt Samia Suluhu Hassan ambayo yamebandikwa maeneo mabalimbali ya mji wa Musoma na kudai kitendo hicho hakikubaliki.

Hayo yamejiri ikiwa ni mwendelezo wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29 zinazoendelea hapa mjini Musoma na maandalizi ya mapokezi ya mgombea huyo wa urais anayetarajiwa kuwasili mkoani humo wiki ijayo.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *